Makala Zote
Mwongozo wa Mnunuzi
Usinunue Nyumba Bila Kusoma Hii Kwanza
Mambo muhimu 7 ambayo kila mnunuzi wa nyumba Tanzania anapaswa kujua. Makosa ya kawaida na jinsi ya kuyaepuka — kabla hujatoa pesa yako.
Mwongozo wa Eneo
Mambo 5 ya Msingi Kabla Hujaamua Sehemu ya Makazi
Tofauti kati ya maeneo ya DSM, Mwanza na Zanzibar. Mlinganisho wa maeneo maarufu — foleni, maji, usalama, na thamani ya mali siku zijazo.
Mawazo ya Kweli
Unaishi au Unaishia?
Mkumbo wa mali umefanya watu wengi wanunue mahali ambapo hawana amani. Gharama mbili za nyumba — pesa na amani ya moyo. Wengi tunalipa zote mbili bila kujua. Afterall... tutapumzika tukifa.